Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,848
Sasa kale kampango ketu ka pension kamefikia wapi?Hahaha...hii si ndio nzuri sasa mkwe, kizuri wala mwenyewe na sio washea na wenzio
Sasa kale kampango ketu ka pension kamefikia wapi?Hahaha...hii si ndio nzuri sasa mkwe, kizuri wala mwenyewe na sio washea na wenzio
Kweli vile
[emoji44] kwamba ilipotea hewani mkwe?Sasa kale kampango ketu ka pension kamefikia wapi?
Wewe jamaa hebu fanya mpango tukutane siku tulipe kodi. Alafu namba yako sijui nilipotezea wapi.
Hahaha, mkuu mtunane una mambo sana weye. Unajua sikuwa najua hii ID inayoniambia "I'm watching you" ni ipi, nikasema huenda nimepata kitu cha kuzamia huko pm. Kumbe ni my love hahaha!
Hahaha...angalia mkuu usije ukamtongoza mai lavu wako kwa mara ya pili [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hahaha, mkuu mtunane una mambo sana weye. Unajua sikuwa najua hii ID inayoniambia "I'm watching you" ni ipi, nikasema huenda nimepata kitu cha kuzamia huko pm. Kumbe ni my love hahaha!
Ushaanza kuwaza manyanga wewe?Kiti??[emoji1787][emoji1787]hilo neno namna ulivyolitumia umenikumbusha mbali!!
Mawe tu chini ya maji dooohLake CHALAView attachment 1286051
Hapo ni mwanzoMawe tu chini ya maji doooh
Daah kuliko vya Kimara eti??[emoji16][emoji16]Na wewe ni kitoto cha wapi kwani??[emoji41][emoji41]
Style hii ya kusonga ugali kwa miguu ,unanikumbusha mbaliMchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Mchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Binamu umepotea jamani; umemissika pia