Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,754
Itabidi tuanze kuandikiana barua aisee.
Nahisi kwa mwandiko huu nitakesha naisoma.
Ngoja nianze mimi,nitakuandikia barua ndefu kidogo weekend hii
Itabidi tuanze kuandikiana barua aisee.
Nahisi kwa mwandiko huu nitakesha naisoma.
Jinsi unavyotudanganya mpendwa siku utakayo weka nagawa buku kwa kila member.
Maandishi yamepigwa pichaMaandishi ni picha 😕
Dau nimepandisha buku kumi hapo vipi hutaweka.Hiyo buku kila member wameshaikosa manake picha yangu sidhani kama nitaweka😂😂😂
Ule miandiko ni mzuri darasani ulikuwa hupati usumbufu kuwaandikia wavivu au mwalimu kukuchagua kuandika ubaoni.Maandishi yamepigwa picha
Ule miandiko ni mzuri darasani ulikuwa usumbuliwi kuwaandikia wavivu au mwalimu kukuchukua kuandika ubaoni.
Hongera umesoma shule za walimu wanajua majukumu yao mimi nimeandika sana ubaoni ilibidi nikatae uwongozi wa darasa kuepuka usumbufu wa kuandika ubaoni.Mimi ni miongoni mwa wavivu wa kuandika....hata shuleni nilikuwa naandika mara chache sana
Niandikie watu ubaoni mwalimu anakuwa nafanya nini?😂😂
Yani nimfanyie kazi yake?
Yule wa Google huyu wa facebookMbona hii na zile nyingine kama sio mtu mmoja?
Mpendwa 😂😂😂😂😂Yule wa Google huyu wa facebook
Una majibu magumu sana 😄😄
Niambie
Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen shortKama ni yeye bas nimeghairi...hizi picha zinadanganya mnooo,filters ni usenge mtupu!!
Acha masikhara mkuu kama kweli daah wakubwa wanafaidi![]()


sssssshh sina uhakika ujue


lol nilijua tu hapa lazima nimeingia cha kiume,, mie series mvivu kufuatilia..
Sijamaanisha imepigwa na flash bali 'the Flash'..
Ungekuwa mtu wa series sana ungeelewa![]()
Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short
Siyo Mimi mkuu ni mdada tu kutoka googlesssssshh sina uhakika ujue
Yna 2 ana mashavu makubwa namjua ndo maana nikasema sio yeye!Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short