Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20191209_190930.jpg

😂😂😂
 
Out of topic... Nimesoma mahali hapa JF kwamba huko kwingine kuna groups za WhatsApp maarufu sana.. Na mojawapo linaitwa The Vault... Nasikia hili ni noma kwa mambo ya kikubwa
Hilo group limetokana na jf?

Nikiri tu kuwa huu uzi wako umenihamasisha sema tu ndio hivyo tena, hawa ndugu zangu ma-bachelor wasipoufanyia kazi huu uzi basi tena, there's no other way to help them.

Kuna wadada kwa "mwandiko na muonekano" tu una-fall kizembe tu na kama ni kujuta si baadae huko!!
 
3nasikia na wa JF wamo!

Back
Top Bottom