Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]sawa mama
Hahha endelea kuwa hapa hapa
Hahha endelea kuwa hapa hapa
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol nilijua tu hapa lazima nimeingia cha kiume,, mie series mvivu kufuatilia..
Ntadamkia hapo
Binamu umepotea jamani; umemissika piaBinamuuu!miss u
Out of topic... Nimesoma mahali hapa JF kwamba huko kwingine kuna groups za WhatsApp maarufu sana.. Na mojawapo linaitwa The Vault... Nasikia hili ni noma kwa mambo ya kikubwa
ThanksOk ntakushtua basi
[emoji23][emoji23]Niliona kama nikikaratasi cha kuandikia majibuKwani yanaonekana kama ni matokeo ya vipimo?
Uni tag nisikose bukuJinsi unavyotudanganya mpendwa siku utakayo weka nagawa buku kwa kila member.
Imetosha naweweYna 2 ana mashavu makubwa namjua ndo maana nikasema sio yeye!
[emoji16][emoji16][emoji16] haya turudiane sasaImetosha nawewe
Embu acha mambo yako[emoji16][emoji16][emoji16] haya turudiane sasa
aisee...manyota nyota tuYule wa Google huyu wa facebook
Yapi tena mashavu? Hebu njoo chemba kwanzaEmbu acha mambo yako
Kaka..kaka..nimekuita mara mbili ujue
Nadhani ni group ya bar na members wake wengi wanatokea Tabata (vitoto vya Tabata vimepinda sana). Unataka uingie kaka angu nikutafutie link yake? Maana najua watu kadhaa wako huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali mpendwa tupo wengi kama wewe
Nadhani ni group ya bar na members wake wengi wanatokea Tabata (vitoto vya Tabata vimepinda sana). Unataka uingie kaka angu nikutafutie link yake? Maana najua watu kadhaa wako huko