Sinywi pombe
Kama unakuja kununua nguo Karibu.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji116][emoji116]
Mwe mwe mweeeeh!!Mkwe mi nakupa ofa ya kuniona laivu nikileta sanduku ya vitenge sio kwenye mapicha picha...
Khaaaa![emoji123][emoji123]I miss you!!
"bachela sugu"Mkwe ati wawaza kitu gani?
Hahaha...hii si ndio nzuri sasa mkwe, kizuri wala mwenyewe na sio washea na wenzioMwe mwe mweeeeh!!
Mkwe tu ninae [emoji134][emoji134][emoji134]
Hahah isikupe mawazo mob, kichwa yako yatakiwa kiwaza vitu vyepesi vyepesi"bachela sugu"
Hapo kwenye "vitoto vya Tabata vimepinda sana",, Aiseee..
Naomba link chaaaap [emoji23]
Nina umbea moto moto aiseeee nipigie naweza kuzimia kama sijakuambia
Sasa hili jina lina maana gani "my"[emoji23], imebidi nitulie kwanza niunganishe tarakimu...Khaaaa!
hhaahaa tukiwa wote ntakunywaa..si unajuaa lakin??Bby umeacha gambe??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
njoo pm unipe namba nna majanga shogaanguNina umbea moto moto aiseeee nipigie naweza kuzimia kama sijakuambia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hili jina lina maana gani "my"[emoji23], imebidi nitulie kwanza niunganishe tarakimu...
Haya bwana!!