min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,531
- 128,105
Kabisa , ngoja nitafute hela nije nikusombe😅Si ndio☺️😁
Kabisa , ngoja nitafute hela nije nikusombe😅Si ndio☺️😁
Unisombe kama ng’ombe sio😅Kabisa , ngoja nitafute hela nije nikusombe😅
Hahahahaa si ndioUnisombe kama ng’ombe sio😅
Hahahahaa si ndio
Hahahaa sio kweli na weweDahh sawa! Wacha nisubiri kupakizwa kwenye lori la ng’ombe tu☹️
Mara ya mwisho kukuona nikipindi kile cha sofi, hebu fanya namna utubless cheupe wetu.Poa mambo vip
Nilianza na kuagiza kamba kabisa niwe tayari! Eenh afadhalii😅Hahahaa sio kweli na wewe
Kwamba 😁Nilianza na kuagiza kamba kabisa niwe tayari! Eenh afadhalii😅
Si kusombwa🙄Kwamba 😁
Ngoja nitafute pesa tu , usukumani wanataka ng'ombe 300 nasikia🤗Si kusombwa🙄
Lete ata 1000 tu hamna shida😁Ngoja nitafute pesa tu , usukumani wanataka ng'ombe 300 nasikia🤗
Si wewe umenitapeli, kapicha kanawekwa hata habari sina.Umetapeliwa na nani ,hebu tuambie 😊
Umeweka kapicha na mie mwenye mali hata sijaitwa, vile unamiminiwa sifa mie kamoyo kanaenda mbio 😂Km ambavyo ndugu yako analalamika kaachwa na mi ht sijui😄😄
Razorblade
Weeeeeewe ili nionekane sina maanaLete ata 1000 tu hamna shida😁
Poleee 😂😂😂😂Mhmmmmmm, nimesikitika sana.
Nione hata meno tu basiPoleee 😂😂😂😂
Nakuonaaa mama mtumishi.Haswaaa nimejaa tele
Hahaha
Poleeee.Nione hata meno tu basi