min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,287
- 130,502
Kabisa madam , upite chap na wew basi.Acha nifurahi tu ndugu ,we live once
😃😃
Kabisa madam , upite chap na wew basi.Acha nifurahi tu ndugu ,we live once
😃😃
Oooh sawa ,kwa ratiba hii kweli tukutane MwakaniHuko mpk next Yr ,Dar na Arusha huwa ni mwanzoni mwa mwaka....
Tumemaliza ir juzi,
Keshokutwa tunaanza Njombe,next week j5 tunaanza Mbeya ndo Seminar ya mwisho tukutane mwakani!
Umeniita babe
Mimi mkubwa hivi nimekua baby🤣 tupia picha moja basiUmeniita babe
Kumbe hujui? Sikuhizi kila mtu anataka kuitwa baby ohooMimi mkubwa hivi nimekua baby🤣 tupia picha moja basi
Fanya utupie kwanza, mimi mpya nitaipiga tuKumbe hujui? Sikuhizi kila mtu anataka kuitwa baby ohoo
Nasubiri yako itangulie nifatie😁
Mwenyew sina mpya😂 ngoja kuna moja ya harusini juziFanya utupie kwanza, mimi mpya nitaipiga tu
Nimekuja mbioMwenyew sina mpya😂 ngoja kuna moja ya harusini juzi
Dahh nimekuta mavideos tu picha ina kitambi kama mimba nmeishiwa pozi😂Nimekuja mbio
Hahahaha kwani kitambi kinawasha ?Dahh nimekuta mavideos tu picha ina kitambi kama mimba nmeishiwa pozi😂
Nmepost ujue! Naomba tulia ili uone niifute😁Hahahaha kwani kitambi kinawasha ?
Mdada mzuri mno 😋
Whabeja sana😂Mdada mzuri mno 😋
Toto la kisukuma sio😋😋😋Whabeja sana😂
Si ndio☺️😁Toto la kisukuma sio😋😋😋