Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saivi umenenepa mashallah chuo kilikukondesha sana. Ngoja namimi niangalie namna ya kuliongeza bando lako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chuo kilinimaliza mwili wote, si unajua msoto wa Mlimani??
Sahivi mwili wangu umeanza kuonesha shukrani ya ugali na pitiku naoupa.
Huhuhuh.

Afu hii comment ya Reply kwa picha, ungeondoa ili kuondoa picha ktk uzi huu.
πŸ™πŸ™πŸ™

Utatishaa sanaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikujazi we jitazame kwenye kioo vizuri kwa jicho la tatu utaona namna ulivyo mzuri kiufupi huna mpinzani. Yaani wewe hata nikienda kuomba mkopo fasta napewa kwa uzuri wako.
Nasubiri na bundle ulilo sema, nidevelekee.
P huna bayaa.
 
IMG-20251012-WA0019.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chuo kilinimaliza mwili wote, si unajua msoto wa Mlimani??
Sahivi mwili wangu umeanza kuonesha shukrani ya ugali na pitiku naoupa.
Huhuhuh.

Afu hii comment ya Reply kwa picha, ungeondoa ili kuondoa picha ktk uzi huu.
πŸ™πŸ™πŸ™

Utatishaa sanaa.
Nimepitwa jmn
 
Back
Top Bottom