Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,560
Pazuri Sana, wapi hapa kijana?Jobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Pazuri Sana, wapi hapa kijana?Jobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Ameachaaaaa! Huyo ataachwa na Efootball.
Ng’ombe 1000 unakosaje maana babaa? Ukija wanakupa na nyongeza ujue😅Weeeeeewe ili nionekane sina maana
Hii noma kwetu debe moja la mbege unavuta mchumbaNg’ombe 1000 unakosaje maana babaa? Ukija wanakupa na nyongeza ujue😅
Nanjilinji bro 🦅Pazuri Sana, wapi hapa kijana?
Ngoja aje kutoa jibu mwenyewe maana tayari sielewi 😂Ameachaaaaa! Huyo ataachwa na Efootball.
😂😂😂😂😂
Mtakuja kupenda na bibi zenu kija 😂😂Umeweka kapicha na mie mwenye mali hata sijaitwa, vile unamiminiwa sifa mie kamoyo kanaenda mbio 😂
Khalas 😂😂
Muhimu mapenzi mengine hayana shida 😂Mtakuja kupenda na bibi zenu kija 😂😂
Na pisi za Huko zilivyonyooka, sasa huku utaweza kweli🤔Hii noma kwetu debe moja la mbege unavuta mchumba
😂😂😂😂😂Ngoja aje kutoa jibu mwenyewe maana tayari sielewi 😂
Nitakutag nikipitaKabisa madam , upite chap na wew basi.
2012 hukuwa hata na miaka 10, 2012-2025 = 13.Si wewe umenitapeli, kapicha kanawekwa hata habari sina.
Ndugu zangu Intelligent businessman, Selikavu hii imekaaje maana nimetumia simultaneous equation sijapata jibu.
Khalas 😂
😀😀😀😀😀nimechekaSi wewe umenitapeli, kapicha kanawekwa hata habari sina.
Ndugu zangu Intelligent businessman, Selikavu hii imekaaje maana nimetumia simultaneous equation sijapata jibu.
Khalas 😂
Umeweka kapicha na mie mwenye mali hata sijaitwa, vile unamiminiwa sifa mie kamoyo kanaenda mbio 😂
Khalas 😂😂
Hahaha kunyooka ni mtazamo wamtu tuNa pisi za Huko zilivyonyooka, sasa huku utaweza kweli🤔
Wivu muhimu bhana 😂Tulia Acha wivu 😃😃
40 yrs, tuseme starting 20 alikuwa na 2 men per year.Acha uwaki wewe, tunda halizeeki 😂😂😂
Kumbee🤭Hahaha kunyooka ni mtazamo wamtu tu