cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Ianze kwanza Western Union.Fanya kupita chap
Ianze kwanza Western Union.Fanya kupita chap
Mhmmmmmm, nimesikitika sana.Ianze kwanza Western Union.
Imekosekana KONYAGIIII hapo 🤣😃😊
Hivi nanjilinji huwa ni sehemu ya kweli au umetunga tu😁Jobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Kaka niko nanjilinji, huku hata namba ya nyumba hakuna 😂Hivi nanjilinji huwa ni sehemu ya kweli au umetunga tu😁
Itabidi niongeze nanjilinji kwenye list ya sehemu ya kwenda kabla sijafa 😅Kaka niko nanjilinji, huku hata namba ya nyumba hakuna 😂
Huku kama kagera.Jobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
On your risk 😂🤣Itabidi niongeze nanjilinji kwenye list ya sehemu ya kwenda kabla sijafa 😅
HapanaHuku kama kagera.
Mbona tunatishana tena 😅On your risk 😂🤣
we karibia tu, nanjilinji sio kwa wanyonge 😅Mbona tunatishana tena 😅
Ukitutumia picha hii watu wa dodoma tunakuona Freemason 😃😃hicho kijan umetoa wap msimu huuJobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Vzr,ratiba ya Mwalimu Dar lini?Kabisa Kabisa
Tunamshukuru Mungu
Haswaaa nimejaa teleMama mtumishii upoo?
Huko mpk next Yr ,Dar na Arusha huwa ni mwanzoni mwa mwaka....Vzr,ratiba ya Mwalimu Dar lini?
Unacheka nini mama mchunga🤗Huko mpk next Yr ,Dar na Arusha huwa ni mwanzoni mwa mwaka....
Tumemaliza ir juzi,
Keshokutwa tunaanza Njombe,next week j5 tunaanza Mbeya ndo Seminar ya mwisho tukutane mwakani!
Acha nifurahi tu ndugu ,we live onceUnacheka nini mama mchunga🤗