😂😂😂😂Saivi umenenepa mashallah chuo kilikukondesha sana. Ngoja namimi niangalie namna ya kuliongeza bando lako.
Sikujazi we jitazame kwenye kioo vizuri kwa jicho la tatu utaona namna ulivyo mzuri kiufupi huna mpinzani. Yaani wewe hata nikienda kuomba mkopo fasta napewa kwa uzuri wako.😂😂😂😂 P Hii yote umeitoa wapii?
Acha kunijaza plz.
Woiiiiih.
Nasubiri na bundle ulilo sema, nidevelekee.Sikujazi we jitazame kwenye kioo vizuri kwa jicho la tatu utaona namna ulivyo mzuri kiufupi huna mpinzani. Yaani wewe hata nikienda kuomba mkopo fasta napewa kwa uzuri wako.
....Code za kitaaa ss 😃😃 Seran
I'm a man of my words, na ulivyo pisi kali lazima nigharamike ili nizidi kuliona tabasamu lako 😘😂😂😂😂
Nasubiri na bundle ulilo sema, nidevelekee.
P huna bayaa.
😂😂😂😂 wee P nenda kulee, kaone kitu.I'm a man of my words, na ulivyo pisi kali lazima nigharamike ili nizidi kuliona tabasamu lako 😘
Mtumishi salama lkn?
Kabisa KabisaMtumishi salama lkn?
Nimepitwa jmn😂😂😂😂
Chuo kilinimaliza mwili wote, si unajua msoto wa Mlimani??
Sahivi mwili wangu umeanza kuonesha shukrani ya ugali na pitiku naoupa.
Huhuhuh.
Afu hii comment ya Reply kwa picha, ungeondoa ili kuondoa picha ktk uzi huu.
🙏🙏🙏
Utatishaa sanaa.
Mama mtumishii upoo?Nimepitwa jmn
Pia mimi nimepitwaMama mtumishii upoo?
Mbna mie nilipitwa na Money gram.Pia mimi nimepitwa