min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,354
- 127,476
Ooooh kumbe😅Ndio kiongozi 😝😹
Ooooh kumbe😅Ndio kiongozi 😝😹
Huyu mtoto mmbichi mmbichi kitambo sana sijamuona humu kweli, au yupo honeymoon 😁😁
Mtoto yupo na ni wa moto hatari bwasheeHuyu mtoto mmbichi mmbichi kitambo sana sijamuona humu kweli, au yupo honeymoon 😁😁
Binti wa zamani ebuu uje ututhibitishie u moto moto wako .. weekend iishe vyema kabisaMtoto yupo na ni wa moto hatari bwashee
Kaka Leo ni mwendo wa kukata muti panda mutiii yaani shoka moja mti chiniiMtoto yupo na ni wa moto hatari bwashee
😅😅😅 Ingawa leo weekend lakini wapiiiiHumu watu wamelala nahisi howana pesa😛😛
Umeanza mapemaaa sana, pesa inasomaaa eehKaka Leo ni mwendo wa kukata muti panda mutiii yaani shoka moja mti chinii
Naanza hapa kupiga gambeee
😅😅 mnazinywe wapi mazeeeKaka leo ndio siku nakunywa kumaliza pombe na sio pesa , halafu kuna nyumbu wanakunja uso , natamani melo asingesahau dole la kati kwenye emoj Evelyn Salt alishauri hili🤔
😅😅 Basi hata kama hawana hela, sie ni dugu moyaa mtoe location kwa code.. Manjangu wasije pita na watuNdio maana mimi sikutaka kuchangia jf na wale wa mwanzo mtu akianza na 10 mil humu mimi nitapanda juu yake , kwa hekima kubwa mno
Bwashee nimetulia zangu gheto tu😅😅 mnazinywe wapi mazeee
😅😅 kama na wengine walivyotulia gheto wakichunguliaBwashee nimetulia zangu gheto tu
Sure bro mimi nakiwasha na vodka hapa😅😅 kama na wengine walivyotulia gheto wakichungulia
😅😅 Hapo una hisi upo Russia Russia hivi kama unaongea vile ma Vladimir PutinSure bro mimi nakiwasha na vodka hapa