min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,587
- 164,826
Hawa jamaa wanatuona mata Co sanaThubutu! Nimewaambia naitwa Maimuna
Hawa jamaa wanatuona mata Co sanaThubutu! Nimewaambia naitwa Maimuna
Tena mata ko yenye ukurutuHawa jamaa wanatuona mata Co sana
Nilitaka kushangaa washikaji wanafeli wapi😁😁 ilinibana nikavua
😍😍😍 Ila maka lizurii khaaa..!!Lamomy kwenye moja na mbili, nimekutana na picha hii enzi hizo nipo school.
😂😂😂😂😂Huyu mpwa wangu watoto wanampenda hivyo hivyo japo akijisikia tu anawazabua 😂😂😂
😍😍 Jamani mate uko mshunu 🥰
Anitake nani mimi, huyo Atoto mwenyewe, kaamua kunionea huruma tu 😂🤣😂😍😍😍 Ila maka lizurii khaaa..!!
Hivi hawakuwa wanakung’ang’ania mademu??
Hapo ungekuwa shule yetu ni mwendo wa ngumi kila siku kukugombania. Na ulivyo muhuni sasa bangi nyingi awwww 🥰🥰🥰
Atoto ana haki adate ba mtu umenyooka..!!
Maneno yako hayaendani na muonekano wako kabisaaa..!!
vijijin huku mkuuAP una laba qaliii, afu loc inaonekana ni mambeleeee.
🔥🔥🔥🔥
Uko vizuri sana umenyooka, hii sitanii naongea ukweli 😍Anitake nani mimi, huyo Atoto mwenyewe, kaamua kunionea huruma tu 😂🤣😂
Rangi ya mtume, kumbe Dear wee ni lizuri hivi?
Aaaah wapiiii!! 😂😂😂vijijin huku mkuu
Yaan ni mzurii huyu BK, aoneshe na shape, ili nimalizie summary, anataka kuendana na fulani hivi humu ndani.😍😍 Jamani mate uko mshunu 🥰
Nyie mliumbwa saa ngapi wenzetu wazuri hivi??
Mungu kashindwa kutubless na sisi wa kaya maskini huku kwanini lakini? 😹😹
Subaru moja hiyo 😍
Dah, Atoto kanibania tu, angekuachia ukanipachika kwa binti wa zamani huenda saa hizi, vichupa ningekuwa sivitupii choooni.Uko vizuri sana umenyooka, hii sitanii naongea ukweli 😍
Atoto kuna siku kaniwashia mwenge nimekuchomeka kwa binti wa zamani..!! 😹😹
Kaniuliza we Lamomy mbona unamgawa mume wangu? 🤣
Nikamjibu, “Nimeona anazagaa zagaa hana mtu” 😹😹
Dogo, tulia basi😂😂😂😂😂
Sijui hata nacheka nini, au bas.
Sitanii mkuuAaaah wapiiii!! 😂😂😂
Nimefanyaje? 😂😂😂😂Dogo, tulia basi
Hapanaaa! Hiyo loc ni mambelee huko.Sitanii mkuu
Hakika umenifananisha...Nimefanyaje? 😂😂😂😂
Hiyo picha kuna mtu nafananisha nae.