binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,148
- 40,873
Mate wote wa forest ni washunu, naona unajitoa!😍😍 Jamani mate uko mshunu 🥰
Nyie mliumbwa saa ngapi wenzetu wazuri hivi??
Mungu kashindwa kutubless na sisi wa kaya maskini huku kwanini lakini? 😹😹
Subaru moja hiyo 😍
Janja janja wewe! 😅
Kaya whaaaat! Mate unapajua kwetu singida? Kumepauka paaaau!