Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Afu baadae utuambie unatafutwa, sa unatafutwa ili iweje wewe.....😃
Kwa hicho kichwa, huyu hawezi kutafutwa wataona ni mlemavuAfu baadae utuambie unatafutwa, sa unatafutwa ili iweje wewe.....😃
Uzi husika huu hapa: Selfika na JF: Snap it. Show it
Nikemee haya mapepo tu hamna namna afu yako serious tuingie dimbani yenyewe yakiwa yametangulia na magoli..!! 😹😹😂😂😂😂😂😂
Uduguu mie sitaki, nacheka km mwehu hapa. Lol
😂😂😂😂😂😂Nikemee haya mapepo tu hamna namna afu yako serious tuingie dimbani yenyewe yakiwa yametangulia na magoli..!! 😹😹
Usome UDSM halafu uokotwe kishamba hivyo?Nakwambiaga nikija uwe unakua nyuma yangu unanisaidia nisipigwee mjini.
Nimepigwa mitaa ya karume mitaa ya TBL kwa mbele; yule fala sijui anatumia vidawa.
Nimejikuta natoa buku mbili za glass ya juice pasipo hata kutarajia, juice yenyewe ni mi maji.
Jamaa kanishobokea kaniita utafikiri ananijua; kaka mkubwa vipi, daah kitambo mi nikabaki navuta taswira mbona simjui huyu. Kuja kushtuka nishakunywa juice glass mbili.
Yaan bila vurugu, sina amani kabisaa.Meji una penda vurugu 😂😅
😂😂😂😂😂 kwamba UD kuna nn? Km ni mgeni je?Usome UDSM halafu uokotwe kishamba hivyo?
Hivi chino unatuchukuliaje lakini? 😹😹😹
Mchonganishi🦅😂Yaan bila vurugu, sina amani kabisaa.
Nimekumbuka tangu mdogo, ni full kukiwashaa, full kupigana, full maugomvi, ile kupiganisha watu.
Kuwaputisha mchanga ilu zianze kuwakaa.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 yaan mie ni mbwaii mbwaiiii.Mchonganishi🦅😂
Meji hizi vurugu zita mfanya sk achape raba😂😂😂😂😂 yaan mie ni mbwaii mbwaiiii.
Shule litokee tifu, afu nisihusike haiwezekaniii.
Lazima niwepooo. 😂😂😂😂😂
Kwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? 😹😹😹😂😂😂😂😂 kwamba UD kuna nn? Km ni mgeni je?
Chezea Dsm weyeeee. Lol
😂😂😂😂😂😂 wee umejuajeee?Kwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? 😹😹😹
Hao wa UD shamba leo sawa ila sio kwa chino, mpaka mizigo ya riverside karuka nayo kwa mkopo..!! 😹
Afu msalimie, naona huwa ananitembezea likes tyuuh.Meji hizi vurugu zita mfanya sk achape raba
Dah sasa wewe riverside uli fikaje😂😂Kwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? 😹😹😹
Hao wa UD shamba leo sawa ila sio kwa chino, mpaka mizigo ya riverside karuka nayo kwa mkopo..!! 😹
tume piga story mida ya jioni, sk hapendi mapicha pichaAfu msalimie, naona huwa ananitembezea likes tyuuh.
Sasa ndo tuta match ujue, yaan perfect combo.
😂😂😂😂😂😂
Yess inatakiwa awe hivyo, heka heka aniachie mie.tume piga story mida ya jioni, sk hapendi mapicha picha
hahaha ngoja nisubirie mjombaYess inatakiwa awe hivyo, heka heka aniachie mie.