Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,409
- 94,744
Na wifi yangu nuzulath wanaendana 😍Yaan ni mzurii huyu BK, aoneshe na shape, ili nimalizie summary, anataka kuendana na fulani hivi humu ndani.
Kuna watu wameumbwaa nyiee. Daaah.
Hata wewe uduguu wa moto namba moja yako, em tupia tuone kwanza kitambo ujue 😹😹😹