min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,285
- 127,311
😅Uchovu wa nini na ndio pamekucha?
😅Uchovu wa nini na ndio pamekucha?
Subiri akwambie yupo kwa TrumpUchovu wa nini na ndio pamekucha?
Na namtumbo kumbe ni kwa trump siku hizi 🤣Subiri akwambie yupo kwa Trump
Ukiwa kwa Trump ndio unaamka umechoka? 😁Subiri akwambie yupo kwa Trump
CuteFurahi day ya makolo 😁
View attachment 3470248
Hahahhaa uchovu unaweza kuwa hata wa mfukoniUkiwa kwa Trump ndio unaamka umechoka? 😁
Na wewe ni kolo? 😁Cute
Jicho 😉Furahi day ya makolo 😁
View attachment 3470248
Kolo ndio niniNa wewe ni kolo? 😁
Dah! Wakishua bwanaKolo ndio nini
La kumkata mtoto asiombe soda ya mgeni 😁Jicho 😉
Ukimaliza kutype nitag 😁Typing........delete
Typing...... delete
Typing..
Timezone tofauti mwingine anaamka mwingine anaenda kukojoa akalaleUkiwa kwa Trump ndio unaamka umechoka? 😁
😁 surelyTimezone tofauti mwingine anaamka mwingine anaenda kukojoa akalale
Mimi simba na sio kolo😅😅Dah! Wakishua bwana
Kolo= Yanga
Pawa kwishneyUkimaliza kutype nitag 😁
❤️ Nguvu moyaaa!Mimi simba na sio kolo😅😅
Natuma delivery akuletee fanta orange😁Pawa kwishney
Jicho lips na rangi 🔥La kumkata mtoto asiombe soda ya mgeni 😁