makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Mshana nipe mimi hii pisi.. 😋😋
Mshana nipe mimi hii pisi.. 😋😋
Kuna mhuni anasukuma hiyo whip ka nyamwiNi aina gani? Ulipigia parking ya pub😅😅
Ww huna??Kuna mhuni anasukuma hiyo whip ka nyamwi
Hahahaha natolea wapi kanyamwi?😅Ww huna??
Punguza maji ununue basi 😅Hahahaha natolea wapi kanyamwi?😅
Unakojoa puzir ka min🥰Nimwomba rafiki yangu mmoja nimpige picha ,tupo tunajiandaa kulewa 24hrs😅😅😅 timu yangu ya ulevi naiposti gademiiit 😅View attachment 3442276
Hahaaha wala sikoji hapo huyo ni demu wa msela wangu sema ni mwana sanaUnakojoa puzir ka min🥰
Ww huna pakukojoa kwani ukilewa hazishuki chini??Hahaaha wala sikoji hapo huyo ni demu wa msela wangu sema ni mwana wangu sana
Ngoja ni selfike hapaaa 🤳Wazee wezangu wa chama chetu cha wanywa bia
Dr am 4 real PhD
Monetary doctor
Ushimen
Vishu Mtata
MamaSamia2025
Nikilewa mniache
MastaKiraka
Evelyn Salt
Mje tuselfike na vinywaji vyetu mkononi🍺
Naona mstarii wa gari ya MBAGALA 😊
Picha irudiwe irudiweVya pombe tu , hiyo gari ya bei ya kutupa kwangu hapana asee🤣
Kaka upo?Picha irudiwe irudiwe
Kaka nasubiriNgoja ni selfike hapaaa 🤳
😂😊😁
Ngoja niwashawishi wasupu hapa niwapige picha nipost🤣Ww huna pakukojoa kwani ukilewa hazishuki chini??
Usikawie😄Ngoja niwashawishi wasupu hapa niwapige picha nipost🤣
Khe ni mafuta ya upako😁Flying fish ndio ka nini tena ka nyamwi😅
Si nilikwambia mimi 😹😹Achana na msukuma huyo anazingua.
Hatimaye Maka si amerudi akatupia kitu 🙌🏽 📸 kumbe kuna wakaka humu buana 😅 kila ulichosema ni ✅
😹😹😹 Kazi unayo..!!Kaone😆