Now sitafanya hivyo kamwe , mnasema nikiselfika sio sio mimi , poor mind 🥲🥲🥲e
ebu selfika bwana
we endelea kuselfika acha kusikiliza maneno ya watu bwana,,Now sitafanya hivyo kamwe , mnasema nikiselfika sio sio mimi , poor mind 🥲🥲🥲
Upo m sweet mno rafiki
mtoto uko na lips bomba kinyamawe endelea kuselfika acha kusikiliza maneno ya watu bwana,,
asante red ila usinisifie sana bby wangu atanuna 🤣🤣🤣🤣 (joke) eb selfka nikuone basimtoto uko na lips bomba kinyama
nimeoteshwa na mganga🤣Hahaha umejuaje ndio hivyo?
hahahaasante red ila usinisifie sana bby wangu atanuna 🤣🤣🤣🤣 (joke) eb selfka nikuone basi
Kumbe 😅😅nimeoteshwa na mganga🤣
selfka basi kaka mzurihahaha
hapana natania bro,Kumbe 😅😅
nimependa kibanio cha huyo mama wa hapo nyuma yako 🤗😅View attachment 3447432
NIlieshika jagi hapo
😅😅nimependa kibanio cha huyo mama wa hapo nyuma yako 🤗😅
Toto 😅 Mungu fundi bhana