Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu nitag kwenye huo uzi mwenzio nalea kwa sasa hata kushika simu uvivu dogo ni mliaji hatari 😩
😍😍😍🥰 Wifi Hongera
Mchumu barbie kwa niaba basi..!!

Nitakutag nikitulia ss hivi nipo kung’oa makucha kazi ya shambani imeanza..!! 😹😹
 
Ukitupia, na mie natupiaa uduguu. 😂😂😂😂
Nitupie nikiwa nahesabu magunia ya mahindi au? 😹😹😹

Ngoja nitafute pesa bush kwanza, nikirudi town kazi inaendelea ya kuselfika..!!
 
Back
Top Bottom