T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,489
Kuandika kimatani kuwa nilishawahi kuonana na wewe ndo kosa langu kuu lililopelekea ukasirike na uandike hili gazeti?Ngoja nikuambie kitu, ktk maisha yangu hata huku uraiani, kuna watu nina utani nao, na watu sio.
Wee sijakuweka ktk utani, ndo maana nakuheshimu na sijawahi kuonesha utani wa aina hii?
Nna kanuni 1, siwezi kuvuka mipaka yangu kwa mwingine, na mwingine asivuke mipaka yake kwangu.
Nimechagua kukuheshimu bas ilinde hiyo heshima, na ukiona unakerekwa sana kuhusu mie, kuna ignore na block, bofya hapo na maisha yaendelee.
Drama za JF nilishavuka, tena kwenye huu uzi ndo kabisa sitaki tena.
Alamski! 🙌🙌
Aaaaaah!! cocastic kuwa na moyo mpana bhasi rafiki yangu nilikuwa kwenye utani japo umesema hujaniweka kwenye utani
NAKUOMBA UNISAMEHE BURE NA UENDELEE KUNIHESHIMU