Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,850
Babu ila mlimani city unapapenda 😹Nipo mgahawa wa Waturuki hapa tulipokuwa tunakusanya mchango wa Kampeni wa Mama Jana 🤗
Ndo unapokutana na kina bibi..!!
Babu ila mlimani city unapapenda 😹Nipo mgahawa wa Waturuki hapa tulipokuwa tunakusanya mchango wa Kampeni wa Mama Jana 🤗
Lamo huko tulishatoka tugange ya leo😅😹😹😹 Kazi unayo..!!
Hallelujah barikiwa tu kanyamwila katoto ka buku 2🤣Khe ni mafuta ya upako😁
Chika the rasiiiiiiiii🚶🏼♀️
😑😒Chika the rasiiiiiiiii
😂😂 Hatari huku kama hujapitia JKT huishiNaona mstarii wa gari ya MBAGALA 😊
Wee m wa 99🤣🤣Hallelujah barikiwa tu kanyamwila katoto ka buku 2🤣
Chikaa leo nipo na wahuni wa kitaa pombe 24hrs , mtu akizima atalipia😅
Kumekucha 😹
Haswaaaaa leo nakula pombe asubuhi mpaka kesho kutwa nikifa msinitafute😅Kumekucha 😹
🕵️🕵️🕵️Usilewe sasa ukiwa na wakware utapigwa mande 😹😹😹
Hahahaha anaenifuata ni wa 90 justi imajini🤣🤣🤣🤣Wee m wa 99🤣🤣
Unajifanya unazuga? 😹😹😹Haswaaaaa leo nakula pombe asubuhi mpaka kesho kutwa nikifa msinitafute😅
Wala hata 🤣🤣 nilikuwa nasikitika amepita hajanitagKumekucha 😹
Mtungo au😅 si usema threesome tu just sound lovely 🤣🤣🤣🤣Usilewe sasa ukiwa na wakware utapigwa mande 😹😹😹
Weeh mi mkali wa code ujue 😹😹😹Wala hata 🤣🤣 nilikuwa nasikitika amepita hajanitag