cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Hope ushatoka hapo zamanii. LolNipo mgahawa wa Waturuki hapa tulipokuwa tunakusanya mchango wa Kampeni wa Mama Jana 🤗
Hope ushatoka hapo zamanii. LolNipo mgahawa wa Waturuki hapa tulipokuwa tunakusanya mchango wa Kampeni wa Mama Jana 🤗
Naelewa basi?🤣chicken stew gani hii?
Kitambo nilitoka MjukuuHope ushatoka hapo zamanii. Lol
Jitahidi uzipate ndani ya masaa 72Nimeenda hospital ya serika nimejuta wanajiona sana mpaka nimejitambulisha ndio wamenipa na kusema nije kesho
I got it to dayJitahidi uzipate ndani ya masaa 72
Hiii na hiyo pembeni ya bakuli Rangi ya pink Rose ni msosiMmekula😅😅?? View attachment 3442210
We unaonaje inaliwa au?Hiii na hiyo pembeni ya bakuli Rangi ya pink Rose ni msosi
😋😋😋Mmekula😅😅?? View attachment 3442210
Kabisa naona inaliwa hii kavu kavu AKA chuku chuku😎We unaonaje inaliwa au?
Aliyegundua mihogo aende mbinguni moja kwa moja aisee...Mmekula😅😅?? View attachment 3442210
Njoo uleKabisa naona inaliwa hii kavu kavu AKA chuku chuku😎
Kabisaaa😅😅Aliyegundua mihogo aende mbinguni moja kwa moja aisee...
Unakula ga?
MnoUnakula ga?
Tam sana 😋 huko ughaibuni ipo?