Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,158
- 18,119
Hii ni maajabu kuwa online mpka muda huu chief 😂Pole 🎣 mkuu.
Hii ni maajabu kuwa online mpka muda huu chief 😂Pole 🎣 mkuu.
Jana hata wife kashangaaa tumekaa sebuleni mpaka saa nane usikuu haaahaa 😂 😁Hii ni maajabu kuwa online mpka muda huu chief 😂
Hatare sana mzee,, sijawahi ona umekesha mpka muda huuJana hata wife kashangaaa tumekaa sebuleni mpaka saa nane usikuu haaahaa 😂 😁
What a mystery
Kweriiiii saa mbili mpaka tatu napoteagaa 😊😊😁😁😂Hatare sana mzee,, sijawahi ona umekesha mpka muda huu
Hatare sana mzee ko huu Uzi ni wa picha 😂Kweriiiii saa mbili mpaka tatu napoteagaa 😊😊😁😁😂
Ndio nilipiga janaaHatare sana mzee ko huu Uzi ni wa picha 😂
Hatare sana mzee ko huu Uzi ni wa picha 😂
Hahahaha hatare sana,, ngoja nitafute picha ya kuchangamsha jukwaa 😂Ndio nilipiga janaa
Weka tuoneeeHahahaha hatare sana,, ngoja nitafute picha ya kuchangamsha jukwaa 😂
Karibu tunakulaMmekula??,. Au ndio hainihusu?
Sawa mie ngoja nianze mapemaKaribu tunakula
Mchemsho 😋 upate na Heineken 4 safii za barrriidi cc Dr am 4 real PhDMmekula??,. Au ndio hainihusu?
Heineken asubuhi hii🧐🧐Mchemsho 😋 upate na Heineken 4 safii za barrriidi cc Dr am 4 real PhD
Ndiyo madam akili ikae sawaHeineken asubuhi hii🧐🧐
Mafuta mengi sana 🙌🙌Mmekula??,. Au ndio hainihusu?
Haya mafuta ya ng'ombe mwenyewe mkuu,. Sa nngefanyaje😌Mafuta mengi sana 🙌🙌
KAWAIDA SANA SAA NNE NOWHeineken asubuhi hii🧐🧐
Umetokelezeaa ki gentleman 😊😊😊
Ndio nimeona ina fanya chakula kiwe na mvutoHaya mafuta ya ng'ombe mwenyewe mkuu,. Sa nngefanyaje😌
Hahahaha 😂 kawaida tuuUmetokelezeaa ki gentleman 😊😊😊