cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Aririiiiiiiiiii!! Mzee wa hall V Em niaminishe ulinzi thabiti km kweli upoo?Wewe eng mbabe wavita...
Hamna wakukupopoa humu
Mimi kwanza takulinda Kwa lolote lile
😂😂😂😂😂
Aririiiiiiiiiii!! Mzee wa hall V Em niaminishe ulinzi thabiti km kweli upoo?Wewe eng mbabe wavita...
Hamna wakukupopoa humu
Mimi kwanza takulinda Kwa lolote lile
Ena Figo alikupiga tukio, 😂😂😂😂Weee
Mimi hamna MTU wakunipiga tukio, nilipigwa mwaka 2014 when I was new comer...
11 years now, hamna chaka silijui jf
Hee😂😂😂😂😂
Kuna mtu aliwahi nambia, siku tukae mie na Anco T tuchambane,
Kuna maneno mapya yataibuka ambayo hayajawahi kusikikika
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Hee
Hicho kichambo sikipatii picha
Ila Anko T amezidi jamani khaah!😂
HayaJunia anahitaji mdogo wake boss uchangamke,,,msimu ujao patachimbika ,,,,
Tayari sie tuna cunha, mbuemo, sessko, soon baleba na new gk !
Na sauti lake lile😂😂😂😂😂
Mie napenda anavyochamba kwa kufokaa.
Ananiacha hoiii.
😂😂😂😂😂Na sauti lake lile
Hahaha sio tele huko maninah😂😂😂😂😂
Hivi ikawajee kidney aliwaliza watu vilee?
Kuna app nawaliza wapumbavu hatarii, 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Chinooo em niwachee, toka hapaa.Hahaha sio tele huko maninah
Dalali nani kwani unatumia!😂😂😂😂😂 Chinooo em niwachee, toka hapaa.
Kwakweli niko busy balaa na kupika😀
😂😂😂😂😂😂Dalali nani kwani unatumia!
Juzi kati mwanangu mmoja namwambia hii 20k Yako Kaa nayo achana na madalali uchwara Hawa hawatoi connection yeyote ukituma wanakulima block hakunisikiliza.
Wahuni nyie mna piga sana Hela za maboya!! Namko shapu kwenye kuiahamisha miamala sekunde nyingi.😂😂😂😂😂😂
Chino acha kuharibu ajira za watu, pumbaavu wee.
😂😂😂😂😂 hatariiii sanaaaWahuni nyie mna piga sana Hela za maboya!! Namko shapu kwenye kuiahamisha miamala sekunde nyingi.
Huyu ni wewe..
Rhabhekhaaaaa! Afu sijawahi ona picha yako wee DR.