Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,309
- 37,070
Asante sanaaaaaa.Umependeza sana ila, iko 🔥🔥🔥
Asante sanaaaaaa.Umependeza sana ila, iko 🔥🔥🔥
💯%.Mtoto mzuriii!!
Half cast ya ki ngosha na 🇺🇸..
🦋🦋🦋
Ila wazungu ni DAMU Kali sana sanaa Mimi ni MWEUPE nimeoa MWEUSI ila mtoto ni Mimi mtupu.Mtoto mzuriii!!
Half cast ya ki ngosha na 🇺🇸..
🦋🦋🦋
Wewe ni mzungu?Ila wazungu ni DAMU Kali sana sanaa Mimi ni MWEUPE nimeoa MWEUSI ila mtoto ni Mimi mtupu.
Mtoto ka copy Kila kitu kwangu yaani ogopa sanaa DAMU ya kizungu.
Wachaaa wee!! Hongeraaa white man.Ila wazungu ni DAMU Kali sana sanaa Mimi ni MWEUPE nimeoa MWEUSI ila mtoto ni Mimi mtupu.
Mtoto ka copy Kila kitu kwangu yaani ogopa sanaa DAMU ya kizungu.
NB. Mimi ni Caucasian in nature
Nime edit comment yangu....Huwa naitwa brother White.Wewe ni mzungu?
Mtoto mzuri sanaaa. Napendaga uwe una mpost hivyoo.💯%.
Sipendii kuitwa mzungu mie, bas watu utasikia Mzungu poriii. 😂😂😂😂Nime edit comment yangu....Huwa naitwa brother White.
Mzungu ni KAWAIDA sana kuitwa ivyo ila Mimi sio mzungu as mzungu.
Ila ni jina la haraka naitwaga ivyo na watu wengi wakiniona first time
Huyu ni mdogo mtu.Mtoto mzuri sanaaa. Napendaga uwe una mpost hivyoo.
Hivi yule wa kulala kwa gari akitoka shule ndio huyu? Au huyu mdogo ake?
Sipendagi coz , udogoni Kuna watu walikua Wana WEUPE NA UTOTO WA MAMA..Wachaaa wee!! Hongeraaa white man.
Rangi ya mtumee.
Hongeraa sana brother.Huyu ni mdogo mtu.
Yule mwingine mkubwa sasa. Dada mkubwa.
HahahahaSio Mimi lakiniView attachment 3436280
Oooh hapo sawaa!! Nayee uwe unampost da mkubwa.Huyu ni mdogo mtu.
Yule mwingine mkubwa sasa. Dada mkubwa.
😂😂😂😂😂 nimechekaa sanaa, au bas.Sipendagi coz , udogoni Kuna watu walikua Wana WEUPE NA UTOTO WA MAMA..
MIMI SINA MAKOVU NA NIPO MLAINI MLAINI SANAA SANAAAAAA ILA VERY STRONG UKINICHOKOZA..
NIPO NAENDELEA KUNYWA KONYAGIIII HAPA
Naona wazungu mmekutana 😂😂Sipendii kuitwa mzungu mie, bas watu utasikia Mzungu poriii. 😂😂😂😂
Of course Mimi nipo soft soft sana age limesonga mpaka mviii zimeanza now...😂😂😂😂😂 nimechekaa sanaa, au bas.
Halafu kuna kina jesse clarke mbongo wa mchongo mwanaye katoka na rangi kama ya mama yake, siyo wazungu wote huwa na damu kali mimi nimesoma na half castes wa kizungu na kibongo na wengine wa kiarabu na kibongo ila ni weusi, yani kuna mtu usipowaona wazazi wake basi huwezi kuamini kama kachanganya damuIla wazungu ni DAMU Kali sana sanaa Mimi ni MWEUPE nimeoa MWEUSI ila mtoto ni Mimi mtupu.
Mtoto ka copy Kila kitu kwangu yaani ogopa sanaa DAMU ya kizungu.
NB. Mimi ni Caucasian in nature
Ila kwa ukubwa mtu mweusi wa kike au wa kiume aki cross na mzungu, Asia, mchina mara nyinyi nyinyi mwafrika hupotezwa/ mezwaHalafu kuna kina jesse clarke mbongo wa mchongo mwanaye katoka na rangi kama ya mama yake, siyo wazungu wote huwa na damu kali mimi nimesoma na half castes wa kizungu na kibongo na wengine wa kiarabu na kibongo ila ni weusi, yani kuna mtu usipowaona wazazi wake basi huwezi kuamini kama kachanganya damu
Inasikitisha sana mkuu 😎
Pole 🎣 mkuu.Inasikitisha sana mkuu 😎