Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie nawaelewa sana black American, au wale black gangsta km wapopo au wa south.
Wananirusha sana stim,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shekh nipo hapa; nije na ubani wangu nimalize swala lako na meku.
 
Wewe una undugu na Anko T
Hebu kamuulize vizuri πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mtu aliwahi nambia, siku tukae mie na Anco T tuchambane,
Kuna maneno mapya yataibuka ambayo hayajawahi kusikikika
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee MM, afu ni Dr? Nina historia mbaya na Ma Dr, nawakwepa fulani vile.
Ila siwachukii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umejuaje mimi ni dr
20250731_204854.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee huyo ana wake humu ndani, naogopa kupopolewaa. Lol
Wewe eng mbabe wavita...

Hamna wakukupopoa humu

Mimi kwanza takulinda Kwa lolote lile
 
Back
Top Bottom