sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Leo, nimekosa juice ya tende....😂😂😂😂
Leo, nimekosa juice ya tende....😂😂😂😂
😂😁😁😂😁😁😁Hiyo jezi ya man U??
Hii timu inatumaliza nguvu
Umeanza lini ukorofi Mjukuu 😜Babu si ulisema mlikuwa wote rotana 😜
Bana mwambie anipitishie hizo cashew nuts ujue sijawahi kula za kwenye ndege 😹😹
Pitia unisalimie Babu yako, maana Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana Mjukuu 🤗Nipooooo wewe tu
PoleLeo, nimekosa juice ya tende....
Poaaa VMambo 😎
🤣🤣🤣🙌Pole Mjukuu, ndiyo ufanye mchakato uje nikupatie hizo Korosho
Usisubiri hadi Likizo, omba ruhusa tu kwa Mkwe uje. Mwambie Babu na Bibi wamekuita Kijijini 😜
Hata mi naona ngoja niage 😄Pitia unisalimie Babu yako, maana Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana Mjukuu 🤗
🤸🏋️🏋️Hata mi naona ngoja niage 😄
Fresh tunaweza kupata kahawa jioni ya leo hapa kigamboni 😎😎Poaaa V
Za ww
🤣🤣🤣🤸🏋️🏋️
Uwe unasema mapema banaa ahh😄Fresh tunaweza kupata kahawa jioni ya leo hapa kigamboni 😎😎
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]Jukwaani walikataa. Duka la vocha Jumapili limefungwa. Panapo uzima kesho tsapp kipenzi.[emoji3059]
Shusha picha kidogo kwenye dashboard nijue ni gari gani😂
Siku hizi huna amani kabisa, huna raha😭😭😂😂Weekend njema Guyzz!!
[emoji137][emoji137]