Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kapeace Leo nimejitahid kuchagua km ulivonielekeza😍
IMG_20240930_223727.jpg
 
Leo voda wamenitumia meseji ya bando langu la jero kuisha
Hata sina wasiwasi 😂😂😂

Tajiri alicheka jana hapa meseji ya namna hiii kuja kuipokea ni baada ya wiki kadhaa huko mbele.

Bantu Lady mitano mingine kwake🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-081746.jpg
    Screenshot_20241001-081746.jpg
    202.4 KB · Views: 9
Ombeni mtapewa
Aombaye hupokea.

Mimi na cocastic tuliomba hapahapa jukwaani
Tunaomba tajiri atuwekee pm ili wahuni wasije wakapita nazo hapa.


Tajiri amenitoa kwenye bando za miatano na buku
Tajiriii anatoaa vochaa kubwaa kubwaa hadi unaogopaaaa.
Tuliombaa hapaa, na Tumewekewaa PM.

Bantu Lady ishii sanaa luv, hunaa bayaaa,
 
Back
Top Bottom