Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiriiii
Tajiri wa dunia
Tajiri wa jf
Tajiri wa selfikaa

Mrembo wa Dunia
Mrembo mwenye hela
Mrembo mwenye roho nzuri kama malaika
Siti yake mbinguni ipo

Beauty with money
The one and only Bantu Lady
๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ mrembo wangu Saint Anne umeanza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… haya Amina napokea IJN.
 
๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ mrembo wangu Saint Anne umeanza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… haya Amina napokea IJN.
Bantu mitano tena๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Tajiri kacheka
Tajiri katema mgodi

Naweka vocha hadi Voda wanauliza
Ndugu mteja,niwe wewe kweli?
 
Kapeace Leo nimejitahid kuchagua km ulivonielekeza๐Ÿ˜
IMG_20240930_223727.jpg
 
Leo voda wamenitumia meseji ya bando langu la jero kuisha
Hata sina wasiwasi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tajiri alicheka jana hapa meseji ya namna hiii kuja kuipokea ni baada ya wiki kadhaa huko mbele.

Bantu Lady mitano mingine kwake๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Attachments

  • Screenshot_20241001-081746.jpg
    Screenshot_20241001-081746.jpg
    202.4 KB · Views: 11
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃEeh jmn ni Mimi tu ndo napitwa na haya mambo
Ombeni mtapewa
Aombaye hupokea.

Mimi na cocastic tuliomba hapahapa jukwaani
Tunaomba tajiri atuwekee pm ili wahuni wasije wakapita nazo hapa.

Tajiri amenitoa kwenye bando za miatano na buku๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Leo voda wamenitumia meseji ya bando langu la jero kuisha
Hata sina wasiwasi [emoji23][emoji23][emoji23]

Tajiri alicheka jana hapa meseji ya namna hiii kuja kuipokea ni baada ya wiki kadhaa huko mbele.

Bantu Lady mitano mingine kwake[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Anne, una kirangaa weyeee, khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Anne, una kirangaa weyeee, khaaah.
Hapa ningeanza kuwaza
Natoa wapi tena jero ya bando.

Ukiingia tu IG lazima bando likate.

Bantu lady ni mtu na nusu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Hapa aningeanza kuwaza
Natoa wapi tena jero ya bando.

Ukiingia tu IG lazima bando likate.

Bantu lady ni mtu na nusu[emoji91][emoji91][emoji91]
Ni mtu na Robo 3. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Janaa kaniwekeaa vochaa ya mwezii, full kudeveleka machimboziii.

Weuweee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mtu na Robo 3. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Janaa kaniwekeaa vochaa ya mwezii, full kudeveleka machimboziii.

Weuweee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hana maneno mengi
Maneno kidogo vocha kubwa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Hana baya tajiri
 
Ombeni mtapewa
Aombaye hupokea.

Mimi na cocastic tuliomba hapahapa jukwaani
Tunaomba tajiri atuwekee pm ili wahuni wasije wakapita nazo hapa.

Tajiri amenitoa kwenye bando za miatano na buku[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tajiriii anatoaa vochaa kubwaa kubwaa hadi unaogopaaaa.
Tuliombaa hapaa, na Tumewekewaa PM.

Bantu Lady ishii sanaa luv, hunaa bayaaa, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom