Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,847
Sele yuko vizuri kawalambisha ajira mpk ndugu wa masuria yake awhhh apewe sifa zake huyu muungwana 😂😂😂Semaa chochotee unachotakaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF ni full heka hekaa mahiiiii.
Na alikua anawatafutia kazi, ndugu wa wake zakee, au marafiki wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa selee, ananiacha hoii padogo tyuuh.
Sema kajipakulia minyama yani anawapanga leo nitoke na yupi akanipe mitikisiko ya Pwani 😹
Ila shangazi kupambana wangemfilisi mana shem anahonga sana.!! 🤣
JF story za sele tyuu.!!