Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sele yuko vizuri kawalambisha ajira mpk ndugu wa masuria yake awhhh apewe sifa zake huyu muungwana

Sema kajipakulia minyama yani anawapanga leo nitoke na yupi akanipe mitikisiko ya Pwani

Ila shangazi kupambana wangemfilisi mana shem anahonga sana.!!
JF story za sele tyuu.!!

Mahiiii Leo umeamuaa kunipasuaa mbavuu.
Sijui nacheka nn hata, Woiiiiiiiih
 
Mimi wazee ndio hapana
Mi nawapenda wale age mate akizingua tunazinguana, km kunipita atleast 2 yrs

Hivi mzee mfano akauachia kwa bahati mbaya utafanyaje??

Mi kijana mwenzangu namwambia ntakuweka kibunzi usintanie, sasa mzee si anaweza kukuona huna adabu
wallah leo ntatapikaa kwa kuchekaa.
 
Mimi wazee ndio hapana 😂😂
Mi nawapenda wale age mate akizingua tunazinguana, km kunipita atleast 2 yrs

Hivi mzee mfano akauachia kwa bahati mbaya utafanyaje?? 🤣🤣

Mi kijana mwenzangu namwambia ntakuweka kibunzi usintanie, sasa mzee si anaweza kukuona huna adabu 😹
Wazee watamu wewe acha tu, hao unazungumzia wewe ni vikongwe, wanajua kula k hakuna hawana papara hawakamii hawachakazi, taratiiibu ila unafurahi, wanajua kutunza watoaji sio mabahili, wanaongea vitu vya maana tu, utasikia nidekee mke wangu/mama yangu ukimpa vizuri mpaka machozi wanalia, sasa hao wenu mi siwawezi kwakweli wamejaa yutiyai na magono🙌🙌🙌

hebu niache usinitoe kwenye upako
 
Wazee watamu wewe acha tu, hao unazungumzia wewe ni vikongwe, wanajua kula k hakuna hawana papara hawakamii hawachakazi, taratiiibu ila unafurahi, wanajua kutunza watoaji sio mabahili, wanaongea vitu vya maana tu, utasikia nidekee mke wangu/mama yangu ukimpa vizuri mpaka machozi wanalia, sasa hao wenu mi siwawezi kwakweli wamejaa yutiyai na magono🙌🙌🙌

hebu niache usinitoe kwenye upako
😂😁😁😁😁😁😁😂😁😁
 

Mahiiii Leo umeamuaa kunipasuaa mbavuu.
Sijui nacheka nn hata, Woiiiiiiiih
😂😂😂
Kuna kitu nawaza jibu sipati, hivi wakinonino dog na lile wezere la mahi wetu, shem kweli anaifikia?? Au tuache hiyo je ile ya kukimbiza farasi auntie akimkalia si atamvunja??!! 😰😹😹
 

Kuna kitu nawaza jibu sipati, hivi wakinonino dog na lile wezere la mahi wetu, shem kweli anaifikia?? Au tuache hiyo je ile ya kukimbiza farasi auntie akimkalia si atamvunja??!!
kwanini mahi unawazaaa vituu visivyo na majibuu etiiii?

Unanichekeshaaa hatariiiii,
 
hutaki kuambiwa I’m coming babe, mada faka

Wazee nasikia ukimpea katikati ya game anakwambia, “Binti yangu acha kwanza mshipa umeshtuka”
Halafu wana vibusha wazee wenu.!
Kuna kitu nilitaka kuongea ila ngoja niache njoo pm tumalizie hapa kuna watu nawaheshimu
maliziaaaa hapaaaa bhanaa mahiii.
 
🤣🤣🤣 hutaki kuambiwa I’m coming babe, mada faka 😹😹😹

Wazee nasikia ukimpea katikati ya game anakwambia, “Binti yangu acha kwanza mshipa umeshtuka” 😹😹
Halafu wana vibusha wazee wenu.! 🤣
Kuna kitu nilitaka kuongea ila ngoja niache njoo pm tumalizie hapa kuna watu nawaheshimu 😹
Hao ni vikongwe bado nawatetea siwezi kuwasaliti wazee wangu we mtoto😅😅
 
Wazee watamu wewe acha tu, hao unazungumzia wewe ni vikongwe, wanajua kula k hakuna hawana papara hawakamii hawachakazi, taratiiibu ila unafurahi, wanajua kutunza watoaji sio mabahili, wanaongea vitu vya maana tu, utasikia nidekee mke wangu/mama yangu ukimpa vizuri mpaka machozi wanalia, sasa hao wenu mi siwawezi kwakweli wamejaa yutiyai na magono

hebu niache usinitoe kwenye upako
jamaniiiiiiii
 
Back
Top Bottom