The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,059
Pole nakuja kukuona mgonjwa, mi nilikuwa nauza vijora kwanza… leo nipo mwingi..!
Weka namba The Monk asababishe unywe ceres 😜
Tufanye hivi, wewe utampelekea mgonjwa, ujumlishe mauzo ya vijora na mie nilizopata kwenye kuuza madafu nikukabidhi...mambo yasiwe mengi.