Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi Bantu ana haja ya Tiz kweli!?
Asituangushe

Tunasubiri picha
Comedian wake tumefika🔥
Bantu Lady
Atakuwa anaandaa pic konki ya kunyakua kombe, akishinda boss tutapata vocha za million kila mmoja nkamu 😂😂

Ila kwa shangazi ndizi na dagaa zinatuita 😹
 
The Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii 😂😂

Tajiri muaminifu bana hataki hekaheka atakufungulia ukatulie peke yako piemuni mahi.!! Wale wa kuacha pm wazi wengi fisi maji 😹😹😹 Mje mniue niko bonyokwa
Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutosha
 
Back
Top Bottom