Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,944
Natamani siku nikutane nao nahisi ntacheka sana 🤣🤣🤣Jamaa sio hawa wanakunyatia mpaka dirishani wanakaa wanasikilizia kama kuna minong'o o yoyote ndani
Natamani siku nikutane nao nahisi ntacheka sana 🤣🤣🤣Jamaa sio hawa wanakunyatia mpaka dirishani wanakaa wanasikilizia kama kuna minong'o o yoyote ndani
Don't underestimate the power of filter kipenzi! Mie Niko jeusiii hatari shingo ni Kamera tu imenikatakataKarangi kama ka mtu fudenge, ngozi nyororo, shingo ya pingili, hupendezi kuvaa njano na kijani angalia uzi mwekundu ulivyokutoa hapo
Km hauna wanafanyaje? 😂😂😂😅😅😅😅 wanajua kudai si mchezo
Basi na mi unipe camera yako maana imekupendelea sanaDon't underestimate the power of filter kipenzi! Mie Niko jeusiii hatari shingo ni Kamera tu imenikataka
Hapo nawachawia wanathiiimba leo mpigwe na wadogo zenyuuuu!
Sema nyie nduguze hamdhuriani kihivo kama Azam au 5imba ikicheza na wanaume 😁😁💚💚💚💛💛🖤🖤
🤣🤣🤣 dr kasema itatoka nikipiga pic na huyu mtoto wa mizimu hapendi micamera kabisaa.!!Mimba kwio hebu selfika huko Kuna kitu nataka kuona
Weee umezoea iphone itel batan utaziweza 😁😁😁!Basi na mi unipe camera yako maana imekupendelea sana
Sijawahi kutumia iPhone, halafu kama mkali mkali tu kuna watu wana i4n na bado hawatokelezeiWeee umezoea iphone itel batan utaziweza 😁😁😁!
Picha inajaaaaa ukungu hatariiiii! Kupiga hadi ufute Kamera!
Asije akawa inni yule wa sumbai mchuchuWale wanaokimbia id wengi wanakutana wanafanya mchezo mbaya kweli 😂😂😂
Kuna id ilitongozwa mara mbili hakujua huyo manzi wake ana id mbili 😹😹
Kule anamwambia manzi Sina pesa, halafu kwenye id nyingine anamspoil kwa miamala 🤣🤣🤣
Hee!Nkamu kumbe auntie anatuendea kwa bulldozer tuangamie 😂😂😂
Auntie itakuwa kapata macho matatu kawaka sana, atupe ya chini sasa tuone mshepu.! 😜
Hajawahi kushindwaShangazi anapambania ubingwa wake 😹😹😹
Ila shangazi kawaka uongo mbaya 😂
Comeback yake nimeikubali, hataki kupoteza mchezo analala nao sako kwa bako.!
Ini kasema ss hivi kaacha tabia mbaya ilikuwa maisha tu magumu hakuwa na jinsi ndiomana alifanya vile 😂😂😂
Nahisi Kuna namna wanakuweka kwenye mfumo wanakudaka tuKm hauna wanafanyaje? 😂😂😂
Mi ntawakopa halafu nahama mkoa.!
Huendi mbinguni ujue 😂! HahahaSijawahi kutumia iPhone, halafu kama mkali mkali tu kuna watu wana i4n na bado hawatokelezei
The Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii 😂😂Sasa Lamomy wote tumefunga milango hayo matunda yatapita wapi? Halafu sikujua kama na wakaka wanafunga pm😅😅
😂😂😂😂🤣🤣🤣 Nasikia hao OYA wanadai km una mimba unajifungua kabla y’a siku zako.!!
Mwambie shem akulipie bana.!
Umenikumbusha nna mamkubwa wangu anakopaga mikopo halafu mume wake ndiye mlipaji, akiulizwa pesa umepeleka wapi Hana majibu ya kueleweka.!
Kisa mzuri halafu chotara basi anampelekesha ba mkubwa had huruma. 🤣🤣
Mtoto maku sana yule kidogo tu anaomba picha za dusherere.Ini kasema ss hivi kaacha tabia mbaya ilikuwa maisha tu magumu hakuwa na jinsi ndiomana alifanya vile 😂😂😂
Halafu ini yupo humu humu selfika anawachora mjue 🤣🤣
Eti jamani Nkamu sisi team yake akituangamiza nani atamsapoti na kumshangilia 🤣🤣🤣Hee!
Tuangamie tena?😂
Nani atamsifia sasa?
Hiyo lazima tu atatupia wee
Anaachaje kutupia wakati SI unit ya pambano ipo kwenye mshepu😂
Kwa Bulldozer sisi tunapokea tu mibaraka aiseeEti jamani Nkamu sisi team yake akituangamiza nani atamsapoti na kumshangilia 🤣🤣🤣
Mshepu muhimu ndio unabeba ushindi wa jumla jumla, naona kashtua kidogo kabla hajatupia hiroshima 😹😹😹