Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,945
Sema taratibu asisikie fudenge 😹😹Ktk uBora wako 🤣
Sema taratibu asisikie fudenge 😹😹Ktk uBora wako 🤣
KumekuchaMbona wanawake wengi pm ziko wazi 😂😂
Ila wengi kina Ini 😹
Hili lisinipite mkuu who is ini 😁🤣Aliwakomesha wengine
Mimi mwenyewe kibaka mstaafu
Alafu kalivo kabwege kanaomba hela ndogo ndogo ili isiwe rahisi kuchomoa
Nimeshangaa labda waje watwambie nini kiliwasibu!!Wanazingua sana Bora wanawake ndio wafunge maana wanapata usumbufu sana na vijana wa hovyo
Usd ipo vizuri ila sizani kama itakujaga kuikuta euro € au paundi ya malikia wa uingereza
Tatizo labda muamala haisomi.Piemu yangu ipo wazi lakini sijawahi kupewa salamu hata Kwa bahati mbaya 🙌
Kweli Wazee hatuna bahati 🤗
Itakuwa walikutana na wale wasela wanaojifanya mademu wakala pesa zao 🤣 😁Nimeshangaa labda waje watwambie nini kiliwasibu!!
Dollar ndo inatumika sana hizo nyingine ni kama hazipo tu
Ini ndiye nani?😅😅nimejikaza kujifanya sipendi umbea ila imebidi niulize najua hautanijibu ila pm iko waziMbona wanawake wengi pm ziko wazi 😂😂
Ila wengi kina Ini 😹
Heee mpk huku🤣The Monk anaogopa manungayembe bana 😹
Inatakiwa ufurahi sio km fisi maji wengine wenyewe pm zao zimejaa mitongozo
Babu uongo 🤣🤣Piemu yangu ipo wazi lakini sijawahi kupewa salamu hata Kwa bahati mbaya 🙌
Kweli Wazee hatuna bahati 🤗
😅😅😅kwahiyo walianzwa? Au wao ndio walianza km walianza wao lazima upigwe mzingaItakuwa walikutana na wale wasela wanaojifanya mademu wakala pesa zao 🤣 😁
Leo ni kama 2700 na kitu, niliona Bank. KapeaceMi nashida ya kujua dola,
Sisi wanaume huwaga tuna anza ila tunaishia kujuta mwishoni 🤣😁😁😅😅😅kwahiyo walianzwa? Au wao ndio walianza km walianza wao lazima upigwe mzinga
Nitafute siku nikiwa na type nimelewa, leo niko mkavu siwezi kukupa huu ubuyu 😂😂😂Ini ndiye nani?😅😅nimejikaza kujifanya sipendi umbea ila imebidi niulize najua hautanijibu ila pm iko wazi
Itabidi nikunyweshe maana utasahau, 😅😅Nitafute siku nikiwa na type nimelewa, leo niko mkavu siwezi kukupa huu ubuyu 😂😂😂
Kweli we uko open ila wazee wenzio wamefunga inabidi sasa vya wajukuu na babu tuyazungumzie hapa hapa kwenye kadamnasiPiemu yangu ipo wazi lakini sijawahi kupewa salamu hata Kwa bahati mbaya 🙌
Kweli Wazee hatuna bahati 🤗
Tulia Tayana kuna dili nalisikilizia dogo 🤣🤣Heee mpk huku🤣