Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Wiki hii tunakula keki ya upako kwa bulldozer.Forever and always mnywanii!!!
Nakujaaa unifunze hio surat mnywanii kuna viumbe vilitaka kunidhuruuu ila vilinikuta sidhuriki ndio nikamuuliza Arsis mnywanii!
Natamani siku nivikamate ila ndoiivooo mi sio wa Mungu sana sio wa mgangaaaa basi imani yangu inahang hang tu 😂!!
Karibu umalize kesi zako zote mnywani