cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Hizi bluetick za safari hii zinaverify wagonjwa wa akili




jamaniiiiiHizi bluetick za safari hii zinaverify wagonjwa wa akili




jamaniiiiiNiko Town kitambooo, em tag Loc nikupitie babuu,Kuwa na imani na Babu yako Mjukuu
Hivi umesharudi town? Pitia unisalimie ukiweza


Si kama siwezi kusema
Naweza mpaka kukesha
Ila naogopa lawama
Naogopa mashoga lialia![]()






Mzee wa Range, naombaa ninunulie Jack Daniels. Huhuh
Ila mishangazi ya Dodoma mibahili
Sijui ndio haina hela
Dah
Wanatoa bukubuku,nazo Kwa mbinde
Hii raha za pwani ipelekwe Tanga..
Kopa leo kukusanya hela chache ukilonganisha na raha za pwani ya Dar.




jamaniiiiiiNjoo Kigamboni tukapunge upepo beach 🤗Niko Town kitambooo, em tag Loc nikupitie babuu,
Najua sikosi zawadiii.![]()
na wew unatumia mikojo ya shetani ?Mzee wa Range, naombaa ninunulie Jack Daniels. Huhuh
Kwa maisha hayaa, imenibidii tyuuh, maana bila hivyo naweza okota makopo mtaani, na nisijue Pa kupelekaa.na wew unatumia mikojo ya shetani ?




, ninunulie JD hiyooo.Utanikuta nakusubiri Ferry 🤗Kesho bas, after Ibada.![]()
Oyoooooo.!!Njoo nikuinuee, nakopeshaaaa mie bila Ribaa.![]()
😂😂😂😂 bluetick inafanya kijana alieAaah jamaniiii uduguuu, wee![]()
Wacha tuone ila VAR inagoma huku 🤣🤣🤣Mimi sio mgeni kivile lamomy nilikuwa naishia nje tu almost 6 years back ila Kila Chocho ya jf naijua baada ya kulimitiwa ku-view thread ikabidi nijiunge rasmi
Nina binti wa miaka 7 na kijana wa miaka 17Kumbe mna mabinti na hamsemi 🤣🤣
😂😂😂 hazina thamani kabisaaJf forum wanagawa bluetick kama maandazi
Dukani njoo uniungishe vijora vya mama basi 😜Mkulima hutaki apendeze na ang'ae kama wewe, hahaha si umruhusu aje dukani.
Weeeh!! Mbona kwenye pic unaonekana bado mali safi mkuu 😜Nina binti wa miaka 7 na kijana wa miaka 17
Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o levelWeeeh!! Mbona kwenye pic unaonekana bado mali safi mkuu 😜
Mhm!! Ulianza mapema mchezo mbaya 🤣🤣Picha tu hizo ,sema dogo wangu wa kwanza nilimpata nikiwa o level