Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wako nishamchukua
Kwako harudi tena
Katamka wasiwasi

Nampikia maandazi na Chai ya tangawizi
Kisa nnatoa dozi🔥🔥🔥🔥
Jibebe na jeuri zako
Ooh utalia
Jiji utalijua

Wimbo wa michepuko😂😂😂
 
Mtaani kwa kina Poor Brain
IMG_20230623_192110_6.jpg
 
Ila mishangazi ya Dodoma mibahili
Sijui ndio haina hela

Dah
Wanatoa bukubuku,nazo Kwa mbinde😂😂😂😂

Hii raha za pwani ipelekwe Tanga..
Kopa leo kukusanya hela chache ukilonganisha na raha za pwani ya Dar.
 
Back
Top Bottom