min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,523
- 128,077
Basi sawa ๐๐๐๐Ilikuwa utani tu ๐ ๐ ๐ huyo wakili wangu
Basi sawa ๐๐๐๐Ilikuwa utani tu ๐ ๐ ๐ huyo wakili wangu
Pale vigogo wawili wanapokutana cc Bantu LadyUnazo oddo wangu tajiriiiiii ๐๐๐
Niambukize utajiri basi oddo na mie niwafokee humu..๐น
Oyaa kumbe kagoma kala pesa yetu Yanga SCBasi sawa ๐๐๐๐
Min me selfika hb wetu wa selfika bac ๐๐Lamomy na rafiki yake Vincenzo Jr
Kaone๐คฃ๐คฃ๐คฃ najua unatania tu๐Min me selfika hb wetu wa selfika bac ๐๐
Taswira ya pic yako bado haijanitoka ujue ๐
Kigogo mmoja tu Bantu Lady ๐๐Pale vigogo wawili wanapokutana cc Bantu Lady
Natania vipi buana niko serious ๐Kaone๐คฃ๐คฃ๐คฃ najua unatania tu๐
Ww mgeni ushajua mpk chimbo la selfika ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaogea maji ya ndimu
Kwangu andaa ndimu kuzuia kuchefu chefu mana naamka na mood tofauti tofautiโฆ ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnajua nyie wote marafiki zangu wakubwa ๐ napenda msigombene tena ,labda kama ilikua utani , ila kifupi nilikua najisikia vibaya๐ฅฒ
๐๐ kajomba hakoKwangu andaa ndimu kuzuia kuchefu chefu mana naamka na mood tofauti tofautiโฆ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ngoja๐Natania vipi buana niko serious ๐
Tupia basi Mangi
Thubutuuu!! Mayai yangu nishalia chips ๐คฃ๐คฃ๐๐ kajomba hako
Fanya chap bac nataka kufua ๐Ngoja๐
Subiri kidogo nilewe kwanza kafue nitakuita๐ ๐Fanya chap bac nataka kufua ๐
Anaonekana rika na binti yangu๐
Kumbe mna mabinti na hamsemi ๐คฃ๐คฃAnaonekana rika na binti yangu๐
Nimerudi selfika sasa au bado hujalewa?? ๐นSubiri kidogo nilewe kwanza kafue nitakuita๐ ๐
Blue tick zimekuwa za hovyo sanaKimerudi ki blue tick ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Basi hapo umemsumbua Max umeenda mpk ofisi za JF, sema wewe pesa huna tafuta Platinum utufokee..!!
Ndio utulie sasa ukifanya fyoko kinatolewa mazima hukipati tena ๐๐