Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mjanja sana yule Mama 😂😃😃et kukusanyaa Hela
Mjanja sana yule Mama 😂😃😃et kukusanyaa Hela
Yaani imagine
Selfika basiYaani imagine
Matahira wanawekwa kundi moja na akina mshana wenye heshima zao
Wote Wana bluetick.
Nauza keki ndugu mjumbe😂Selfika basi
Photo nyingiiii maneno kidogo
Nb zisiwe keki😂
Leo mpost mpika kekiNauza keki ndugu mjumbe😂
Kwanini zisiwe keki wakati ndizo zinazonipa ulaji?
Nikimpost utaniungisha keki?Leo mpost mpika keki
Mimi sio mgeni kivile lamomy nilikuwa naishia nje tu almost 6 years back ila Kila Chocho ya jf naijua baada ya kulimitiwa ku-view thread ikabidi nijiunge rasmiWw mgeni ushajua mpk chimbo la selfika 🤣🤣🤣
Wewe mwenyeji bana, ngoja niangalie kwenye VAR
Kioo changu kimevujia hata ukimpost stamuonaNikimpost utaniungisha keki?
Jaman mama zuchuu simpendiii, na ile misifaaa yakee, aaaah wee.Sabaha ana consistency kwenye sauti yake
Yaani mwanzo mwisho haigomi njiani.
Kopa round ya pili tu chalii
Sauti inapotea
Anabaki kuzunguka chini ya jukwaa kukusanya hela.




Njoo nikuinuee, nakopeshaaaa mie bila Ribaa.Uduguu natafuta mtaji mwenzio![]()





Naombaa niwe Muhasibu wa kanisaa,Nilikua kufungua kanisa kwa akina st anne busokelo ndani huko



Dada Anne umechachukaa vibayaa siku hiziii, wallahYaani imagine
Matahira wanawekwa kundi moja na akina mshana wenye heshima zao
Wote Wana bluetick.
Hizi bluetick kuna namna za hawa matahira wa sasa zitofautishwe kidogo na wenye utimamu.







Hiki kikombe nimekumbukaa mbaliii,Nauza keki ndugu mjumbe
Kwanini zisiwe keki wakati ndizo zinazonipa ulaji?





DuhHuwa nikiiangalia hii mada nacheka sana maana sidhani kama kuna mada imepita misukosuko na vifungo vifupi na virefu kama hii😀View attachment 3094544
Safiiiii sanaNauza keki ndugu mjumbe😂
Kwanini zisiwe keki wakati ndizo zinazonipa ulaji?
🤣🤣Si nimekukataza kuwafokea watu wa JF. Pesa unayo wee unafikiri nimesahau shem alisemaje? Safari hii twende wote China Odo ake. Sikuachii nafasi
Umekumbuka Songea?Au jeshini?Hiki kikombe nimekumbukaa mbaliii,![]()