Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wako nishamchukua
Kwako harudi tena
Katamka wasiwasi

Nampikia maandazi na Chai ya tangawizi
Kisa nnatoa dozi🔥🔥🔥🔥
Jibebe na jeuri zako
Ooh utalia
Jiji utalijua

Wimbo wa michepuko😂😂😂
 
Mtaani kwa kina Poor Brain
IMG_20230623_192110_6.jpg
 
Back
Top Bottom