Relax achana naoIla watu mna stress aisee.!!
Wengine mmetoka mapangoni kisa dollar ambazo haziwahusu na ushauri mnatoa.!!
Kweli wabongo ndio watu pekee Africa tunaongoza kwa kutokuwa na furaha, imagine mpk jike shupa linaonea wivu pesa zisizomuhusu, si ulete zako sio nye nye nye nyingi.!! Pesa chache hizo mapovu mengi yanawatoka.!!
Halafu nasikia kuna connection mpya ya 😼
Watu mnaishMy time right now, just feel good
Kuna mtu kasema hizo siyo dolari?mf must be somehow slowUkome mjane mwenyewe uliyetelekezwa na wafaransa kiga.!
Labda na hao ndugu zako unaowaita wdfk
Nishawapotezea mkuuRelax achana nao
Waungwana utawaweza wenye stress za maisha, kila kitu kinachoshindikana kwao wanahisi na wenzao wameshindwa..!Kuna mtu kasema hizo siyo dolari?mf must be somehow slow
Hii nyumba nzuri nimeielewa sitting room na hiyo open kitchen 😍😍😍My time right now, just feel good
Sana😂😂😂😂😂Nkamu cake zako nzuri za viwango 😍
Akiyanani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mtu kasema hizo siyo dolari?mf must be somehow slow
PazuriMy time right now, just feel good
😍😍😍 mno nitaweka order ya 50,000 ila isiwe na icing sugar, nataka nitunze kwenye friji na machocolate yangu niwe naibugia na juiceSana😂😂😂😂😂
Wanaozijua dollar wanamshangaa yule mluga luga 😂😂😂Akiyanani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
HayaWanaozijua dollar wanamshangaa yule mluga luga 😂😂😂
Team yake nao hawazijui wamebaki kutoa maneno ya shombo na chuki kibao.!! 🤣🤣🤣Haya
Mimi muuza ndizi yawezekana sizijui
Wamekuja wanaozishika muda wote.
Hadi team yake wanamshangaa alivyoenda chaka 2 chaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍😍😍 mno nitaweka order ya 50,000 ila isiwe na icing sugar, nataka nitunze kwenye friji na machocolate yangu niwe naibugia na juice
😂😂😂😂😂😂😂Team yake nao hawazijui wamebaki kutoa maneno ya shombo na chuki kibao.!! 🤣🤣🤣
Nkamu wewe mjanja ila unaplay low key kuwafanya wajuaji wajione wajinga, sasa zile dollar kashtuka vile siku nikijizima data nimuonyeshe ndinga ninayosukuma si ndo atatafuta yard aje kujifariji 😂😂😂
Jf kuna watu wana stress, ndiomana kuna siku kantry alisema umezidi kujidogosha hawa inatakiwa uwaonyeshe advertise nikapotezea.!! Kwa pipo za humu na chuki zao wanaweza kukutupia hata jini makata 😂😂😂
😍😍😍 hivyo hivyo na hizo strawberry 🍓🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nkamu huyooo
Inakuwa empty kama hii
Hakuna icing sugar hata kidogo
😂😂😂😂 watanikalia kikao kunidiscuss mpk nijing’ate.!😂😂😂😂😂😂😂
Nkamu watu wasije kuzimia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣