and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,977
Anakwea nazi halafu akifika juu anapiga kelele ya utamu😂
Anakwea nazi halafu akifika juu anapiga kelele ya utamu😂
Ahaaaa sio mbaya si ndio anautafuta utajiriAna duka la vyakula Kariakoo huyu
Kwema karibu kigambonino tupate supu ya kongoroMambo tajiri
😂 Mwenye D mbili ndio ataelewa
Ni tayari tajiri huyuAhaaaa sio mbaya si ndio anautafuta utajiri
Tajiri la kigamboni sioNi tayari tajiri huyu
Kupanda mnazi nani kakufundisha hizo lugha?😂 Mwenye D mbili ndio ataelewa
Huyu wa daslamu nzimaTajiri la kigamboni sio
Hatari mzee...Mkuu and 100 others Hawa vijana wanachekesha sana 😂😁😁😁😁😁
Kaka nilikuwa namtoa kamasi huyo mshamba wa dollar ila nishampuuza nimeona chuki zimemjaa na masungura tope wenzie 😹😹Tulikubaliana mpaka December hakuna ban. Hata July nadhani hatukuvuka. Na August hii tena tunatafuta nyingine? Yaani wewe kha! 😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
😁😁😁😁😂😂😂 Anachunguza picha za kaka bonge hapa 😂😁Hatari mzee...
Tajiri wa dolari yupo wapi?
Hana mbambamba mhesh. Mwenyewe(in chuga voice)Fake P mtu mstaarabu sana yaani sana 😎😎 ndio maana nampenda huyu
Nkamu cake zako nzuri za viwango 😍Tupo DSM na MBEYA mjini
Karibuni sana mdogo wenu nisife njaa
Kabisa huyu mwezi ujao nampandisha cheoHana mbambamba mhesh. Mwenyewe(in chuga voice)