Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,257
- 79,850
Napenda samaki Sato au Jodari☺️Kijana inafaa apewe samaki Cc ephen_ and 100 others maana ana matege inabidi apate madini chumvi
View attachment 3062263
Karibu sana kigamboni tuleNapenda samaki Sato au Jodari☺️
Hata huyu anaonekana ni mtamu
Naunga mkono hoja mkuu ni balaa sana 🤣😁😁Hadi bodyguard fake alikua nao!
Ukiona nguvu kubwa inatumika kuaminisha watu kitu shtuka.
karibu ndugu, ila iyo siyo open kitchen, na ki bar flan cha kiduanziHii nyumba nzuri nimeielewa sitting room na hiyo open kitchen 😍😍😍
Kama ulishawahi kuona ile movie ya The Tinder Swindler utakuwa umenielewa... I think ni documentary... Ulishawahi kuiona... Ni based on true story.
Mbona haiwaki?🙄
🤣😁😁 Haina hela ni masikini 🤣😁😁Mbona haiwaki?🙄
Basi kauze spare🤣😁😁 Haina hela ni masikini 🤣😁😁
Movie nikatazame wapi 🤣😁😁Basi kauze spare
Nunua simu ya MillionMovie nikatazame wapi 🤣😁😁
🤣😁😁😁😁😁 Dah !Nunua simu ya Million
Siku ukitupia ya halotel unitag
Usijali mkuu nitaitupia hata PM kaa karibu na simu yako tuuSiku ukitupia ya halotel unitag
Pm nitachelewa kuiona utupie hapahapaUsijali mkuu nitaitupia hata PM kaa karibu na simu yako tuu
Hapa wenye tamaa watabeba🤣😁😁Pm nitachelewa kuiona utupie hapahapa
Selfika mnachati badala ya picha🙄Pm nitachelewa kuiona utupie hapahapa
Haya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa