min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,451
- 127,863
Nisamehe 😊Unanichosha
Nisamehe 😊Unanichosha
Mmekua waoga sana kwa kila kitu ndo maana mnakataa ndoa😂mbona kama mtego ila haya
SGR si ipo
Ndoa za nini na hatuna pesa😁😁Mmekua waoga sana kwa kila kitu ndo maana mnakataa ndoa😂
Wapambane na hali zao😁Me too darling 😍😍
Pa kuzitafuta ndio kipengele wanaishia kujifariji na kupangia watu.!! 🤣
Vipi kontena jipya limeshuka umelipata?
Nuu za kwako?Wapambane na hali zao😁
Kontena lipi tena wifi,Siku hizi napitwa na mengi humu nimekuwa mvivu kuingia Jf.
Safi za kwakoNuu za kwako?
Fake P mtu mstaarabu sana yaani sana 😎😎 ndio maana nampenda huyu
Kabisa huyu mwezi ujao nampandisha cheo
F zote😁
Acheni maneno kama wauza mboga tupieni picha matajiri nyie kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Ndoa za nini na hatuna pesa😁😁
nimeweka nyingi sana kipindi nipo new memberNa wewe uweke kuwaambia wenzie tu 😂😁
Kwema tuSafi za kwako
Unaenda wap sasa comrade au hautaki cheoMwendo mmeumaliza Endeleeni na Faraja zenu. Sio mitaa yangu
Hali zao zenyewe zimewakimbia zimekaa pembeni zinawacheka 😹😹Wapambane na hali zao😁
Kontena lipi tena wifi,Siku hizi napitwa na mengi humu nimekuwa mvivu kuingia Jf.
😁😁😁 wanawake wanahitaji matunzo tunakwepa majukumuMwendo mmeumaliza Endeleeni na Faraja zenu. Sio mitaa yangu
Saiv kwa Nini hauweki tajiriiiii kutoka chuga 😁😂😂nimeweka nyingi sana kipindi nipo new member
kina lamomy walizifaidi mbona
Ni kipapa au chat za watu maana humu kuna Umalaya mbwa🐒😁Hali zao zenyewe zimewakimbia zimekaa pembeni zinawacheka 😹😹
Mi mwenyewe km 4days sijaingia, jana nikaingia ili nimcheck lee si ndio nakuta watu wenye depression wanajifariji.!!
Sasa leo bana nimeketewa pdf la moto aiseee.!! Jf haipoi haiboi 😂😂😂
Tupakimbie hapa twendeni YouTube tukapate udhamini kidogoNisamehe 😊
Kipapa bana, mi sio wa kutumiwa chat napewaga full package 😹😹Ni kipapa au chat za watu maana humu kuna Umalaya mbwa🐒😁
min -me twende ukaweke song kalii kuleeTupakimbie hapa twendeni YouTube tukapate udhamini kidogo
Weka izo izo zilipendwaNyimbo zangu ni za kitambo mkuu😁😁