Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,259
- 79,857
Unatumia camera?๐Old school ๐๐ Cc ephen_ View attachment 3061280
Hapana natumia simu tu rafiki yangu mpendwa ๐๐Unatumia camera?๐
Hiyo simu ipo vizuri!Hapana natumia simu tu rafiki yangu mpendwa ๐๐
Asante sana rafiki yangu ๐๐๐Hiyo simu ipo vizuri!
Kipapa kimefanyiwa usafi au ni kama chaka la Shangazi kipilipili ๐Kipapa bana, mi sio wa kutumiwa chat napewaga full package ๐น๐น
Siku wakinga wavurugike kichwani naselfika naye hapa
Wii ujue nacheka hapa mbavu zinauma, utanifanya niutoe ubuyu kabla ya muda muafaka.!! ๐คฃ๐คฃ๐คฃKipapa kimefanyiwa usafi au ni kama chaka la Shangazi kipilipili ๐
Ukiweza uza sembe๐๐๐ Ngoja nipambane
Kweli jamaa anakojolea pazuri ๐August 13 ndo natimiza mwezi
ASante kwa kunipa title ๐
Simba damudamu
Ndio maana Huna pesaSimba damudamu
Ndio maana Huna pesa
Ahahahahh embu tuonePesa hazijioneshagi njoo tuchungulie ac tuone
Rusha Picha bhana ๐๐๐๐ umenizungusha sana. Mengine yatafuataAhahahahh embu tuone
Ahahahahaha ngoja cm iponeRusha Picha bhana ๐๐๐๐ umenizungusha sana. Mengine yatafuata
Pesa ni matokeo tu ๐ ๐ ๐Ndio maana Huna pesa
Matokeo ya sandaPesa ni matokeo tu ๐ ๐ ๐