Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,931
Zimefika habari yako?Naomba upokee salam za jumapili.
Uko poa?
Zimefika habari yako?Naomba upokee salam za jumapili.
Unampandisha?au unamuomba kibarua? ,Kwanza wewe ni tajiri au basiKabisa huyu mwezi ujao nampandisha cheo
Atakuwa msimamizi mkuu FBIUnampandisha?au unamuomba kibarua? ,Kwanza wewe ni tajiri au basi
Njoo PM mtoto mzuri tukaponde raha na zile dollars zako.Kaka nilikuwa namtoa kamasi huyo mshamba wa dollar ila nishampuuza nimeona chuki zimemjaa na masungura tope wenzie 😹😹
Ma frend jichanganyeni. 😂😂 Taifa linajua Sifa ni za Mama kizi peke yake..Atakuwa msimamizi mkuu FBI
Kaka nilikuwa namtoa kamasi huyo mshamba wa dollar ila nishampuuza nimeona chuki zimemjaa na masungura tope wenzie 😹😹
🗑️ Middle fingerSavage. 🕵️
ya nani nikasearch twitter kuleHalafu nasikia kuna connection mpya ya 😼
Atolee wapi huyo 😂😁😁😁😁Njoo PM mtoto mzuri tukaponde raha na zile dollars zako.
Ya member mwenzetu kaachia connection moto sana inatembea huko balaa, nimecheka aiseee.!!ya nani nikasearch twitter kule
Mmh 😂😁😁😁😁 usiogope nitakulinda kwa camera za kujifichaMa frend jichanganyeni. 😂😂 Taifa linajua Sifa ni za Mama kizi peke yake..
Member yupi?Ya member mwenzetu kaachia connection moto sana inatembea huko balaa, nimecheka aiseee.!!
Dollar zimeniletea mambo mapya niliyoyasahau kitambo 😹😹😹
selfika basiSavage. 🕵️
Aisee.😂😂😂Atolee wapi huyo 😂😁😁😁😁
Umenikumbusha macho ya samakiselfika basi
We mmbea unakosaje connection nzito km hiyo?Member yupi?
Si watafute zao my wiii😍😍Ila watu mna stress aisee.!!
Wengine mmetoka mapangoni kisa dollar ambazo haziwahusu na ushauri mnatoa.!!
Kweli wabongo ndio watu pekee Africa tunaongoza kwa kutokuwa na furaha, imagine mpk jike shupa linaonea wivu pesa zisizomuhusu, si ulete zako sio nye nye nye nyingi.!! Pesa chache hizo mapovu mengi yanawatoka.!!
Halafu nasikia kuna connection mpya ya 😼