Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu habari za Jumapili?

Hali ya hewa inafanya Wazee tushindwe kuamka mapema [emoji847]

Binafsi sivutiwi sana na hali ya ukosefu wa Utulivu hapa Selfika, inaonesha Vile Wanawake walivyowagumu ku-move on baada ya breakup n.k

Wangejifunza Kwa sisi Wanaume, tunaweza kushea binti lakini tukapiga kimya kama vile hakuna kilichotokea.

Nakumbuka Mwaka 47 Kuna binti mmoja nilikuwa niki-date, nadhani kutokana na changamoto ya Uzee wangu huu huenda nilikuwa simpelekei moto vya kutosha, hivyo Kwa Siri akawa anatoka na Kijana mmoja wa Umri wake.

Nikaja kujua baada ya wiki moja ya mahusiano yao ya Siri. Nilivyo na kifua, sikuweza kumuuliza yule Binti(Mpenzi wangu) Wala yule Kijana mwizi wa Mali ya Babu japo tulikuwa tukikutana mtaani kunywa kahawa ama kucheza bao Kwa Mzee Azizi pamoja.

Sikuwahi kumchukia yule Kijana Wala kuacha kupeana naye Mikono akinisalimia....
DJ waleteeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Selfikaa ina heka heka hii.
Woiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Coca ndio anajua alikuwa anamrusha roho na vi msg. Hebu soma comments za coca mbona kaelezea bana nawe
Kwani kuna nn humu ndaniiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humuoni toka jana anakulia mingo ila ww humsomi, mana kang’ang’ania kukuaminisha vitu vya uongo. Hapo anataka kujiweka em mkubalie atulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sisi tunapenda lakini kuna siku watu watajitundika kutokana na kudhalilishana. sasa fikiria umekaa umetulia mara paap mtu kaselfika na papa yako uliyomtumia kwa mahaba tele.
Kitawalambaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serious kabisa Mwanaume au Mwanamke muokotane mitandaoni unategemea mheshimiane labla sio mitandao hii ya walio kuwa na stress mwanzo mwisho[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23]Had mtu ajitundike ametanguliza mema gani huko Kwa Mungu Bora upambane na dhambi zako hapahapa [emoji23]
alafu watu wasichojua kuwa wema akiba ukimstiri mwenzio nawe utastirika hata na watu wengine huko

Na karma haimuachi mtu ukitenda ubaya utalipwa lazima ulipwe Yani malipo hapahapa Azam two [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah!!! Kwambaaaa?
 
Ya moyoni mtu hawezi kusema labla mhusika awe malaya asiye jali lolote we unafanya masihara kipapa live kiwe Jf [emoji16][emoji16]
Mi na hasira zangu hizi najiuwa kwa kweli
Mbona kilitumwa humu na vinyoya nyoyaa hukuonaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Icho kipapa looh
Selfika imenifundisha hata nikiwa na shemejiyenu nizime taa aipapase tu kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uoga weyeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiachie kwa ankoliiii. Woiiiiiih
 
Mbona kilitumwa humu na vinyoya nyoyaa hukuonaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu ebu tulia kelele zako nimezisikia toka Zanzibar ulikotelekezwa 😂😂😂😂
Nakuja kukufata
 
Uduguu ebu tulia kelele zako nimezisikia toka Zanzibar ulikotelekezwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja kukufata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitelekezwa zenjiii wapiiii? Ntumie ticket ya ndegee bas.
 
20240623_211144.jpg
 
Back
Top Bottom