KARMAAAAA!!!!!
ujumbe nimeupataaa, kuwa karma itamkuta yeyote aliyemfanyia ubayaa mwenziee!! Na mnasema m1 tayariii imeshamfikiaa, bado mie kubwa la maadui, na mnasubiri sana hiyo siku ifikee!!!
Kwanzaa nichekeee,













Hivi kwangu mie kuna lipi jinginee ambalo likinikutaa humu litalinitishaaa? Afu mbona mie sijaona km kuna karma yoyote ile, na inahusiana vipi?au mie ndo sielewiii?
Mnaijua karma au mnaisikiaaa? Sasa ni hivii kabla hiyo Karma haijanikuta basi huyo mtu ubaya utamkuta yeye kwani km itakua ni marudio mie sijui na hainihusu kwani.
Ifike hatua mkiingia JF ya humu muyaache humu, na ya uraiani muyaache huko huko, sio mara 1 wala 2 nasikia malalamiko ooooh coca mbayaaa, cocaa vilee, nyie waja em mniache kwani, huko PM mkae vizuri, mkitaka kujua zaidi msemee muambiwee.
Hivi mbona sijafanya baya lolote, kuukataa unafiki ndo kosaa? Wengine tumeshakua hivyo nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, hakuna kijivu wala rangi ya maziwa,





Mnalazimisha sanaa niukwaee ugomvi kwa nguvu, afu mbona mie sitakii? Si nilipigwa ban hapa baada ya kutoa hints kuwa nakuja na mie na utetezi wangu, sasa ubaya nimefanya mda gani na upi kwani?
Km ni kuhusu kuumbuana na kutumwa picha za uchi, siku mlipuko unatokea sikuwepo maskini, nakuja nakuta uzi umefungwa, na mie nimezuiwa ku comment, waliohusika walipigwa ban ya jumlaa, baada ya mie kuhamia uzi wa umevaa nn leo kuswampa kidg kuuliza waja kulikoni si ndo nikapigwa ban ya jumlaaa? Sasa kosa langu ni lipiii?
Hiyo karma ya karagwe labda ndo itanikuta, ila sio hii nayoijua mie, sijafanya baya na sihitaji kufanya hivyoo, uwezo ninao ila nilizuiwa si mmewaambia modes kuwa nikifukunyua mie njegeka kuhusu hilo wanifute JF mazimaa? Si mnajua kuwa files zotee ninazoo, na ninazo toka season 1 had 4,




Naombaa mgange yajayoo, yaliyopita si ndwelee, sana mjitathimini na mjitaFakari wapi mlianguka ili msijikwaee tenaaa! Mambo ya drama na futuhi huko PM mnajichoshaaa, hakitabadilika kitu, ilishatokea imetokeaa imeishaa hiyooooo!!!






Poleeeeni sanaaa kwa masaibuuu! Aibu na fedheha humkuta binadamu wala sio mnyama au mdudu.Amani na Furaha iwe kwenu km mwanzoooo!!!!
Ameeeeeeeen!!!!!